Ibrahimeliza
Member
- Nov 25, 2020
- 37
- 26
Aiseee hapo kidunchu nimeanza kukuelewa kwamba lazima uwaongopeeNadhani labda hujawaelewa. Lengo lao hasa ni kupata kodi zaidi na kodi hii ukumbuke utaanza kuilipa kabla hata hujaanza kazi. Kikubwa wakati unajieleza kwenye usaili wao hakikisha hauweki matarajio makubwa kwenye biashara yako ya kijasiriamali ili kupunguza mzigo ambao sio halisi. Baada ya hapo kama utaanza biashara na kukuta mambo ni tofauti hakikisha unawaandikia barua mapema sana kuwajulisha sio ukakaa unalalamika chini kwa chini.
Mimi sijasema uwaongopee mkuuπππππ ila hakikisha unatumia akili na ukumbuke hayo ni MAKADIRIO hivyo yanaweza kuwa sawa na uhalisia au yasiwe sawa. UsiogopeAiseee hapo kidunchu nimeanza kukuelewa kwamba lazima uwaongopee
Either niwapige au wanipige. Nahakuna anaekubali kupigwaMimi sijasema uwaongopee mkuuπππππ ila hakikisha unatumia akili na ukumbuke hayo ni MAKADIRIO hivyo yanaweza kuwa sawa na uhalisia au yasiwe sawa. Usiogope
Mimi sijasema uwaongopee mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hakikisha unatumia akili na ukumbuke hayo ni MAKADIRIO hivyo yanaweza kuwa sawa na uhalisia au yasiwe sawa. Usiogope
ππππ nakumbuka kuna mwaka Mizengo Pinda akiwa bungeni aliwahi kusema; "...kama ukiambiwa ufanye hivi na wewe ukakaidi basi utapigwa... na mimi nasema wapigwe tu....".Naje? Kama hukuandika barua yataarifa kua biashara imekua mbaya unafanyaje?
Hahahahhahaaaaaa aieseeee mpaka wazo unalipia yani wewe sasa nimekuelewa na naunga mkono, yani kifupi tanzania ukiwa na wazo la biashara lazima ulilipie unaanza kulipia wazo daaaaaaaahUnaanza kulipia wazo, mengine utajijua mwenyewe...