😅😅😅😅 Scenerio yako na yangu ni pacha wasio fanana. Mimi mchepuko kanipa busness idea, na kuniongezea mtaji juu. Sema yeye hajihusishi nayo kila kitu naendasha mimi fully. Na hahitaji anything in return zaidi ya mimi kuendelea kuwa nae kimahusiano. Ni mke wa mtu na mimi nina mke. Sijajua hii safari itatamatika vipi. Wacha tuone.Wakuu habari?
Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa na pale na mwisho wa siku kipato kitaonekana.
Bahati nzuri katika wazo hilo, yuko tayari kulisimamia, na pia ana timu ya kumsaidia kufanya hiyo kazi; kwa upande wangu natakiwa kufungua ofisi tu.
Bahati nzuri tuliafikiana nifungue mimi ofisi na isomeke kwa majina yangu (eqn x co.ltd), yeye awe kama muajiriwa tu, ila faida tuwe tunagawana nusu kwa nusu. Na itamlazimu wakati mwingine kwenda mikoa mingine kwa ajili ya ufunguzi wa ofisi; kwa mazingira hayo atakuwa kama ''operation manager''
Kutokana na hii mikakati kabambe, nimeamua kumzawadia ujauzito ili aweze kufanya kazi kwa uaminifu zaidi, akijua anapambania mali ya baba wa mtoto wake.
Hofu yangu ni kwa huko baadaye, hatoweza kuleta timbwili timbwili kwa bi mkubwa (waifu matirio wangu)?
Ingawa kwa sasa anasema ananiheshimu mimi pamoja na familia yangu, na hatoleta tatizo.
Wazoefu, nipeni maushauri; hii biashara na mahusiano hayata nitesa kweli?
Je, nifanyeje?
Huwa naiheshimu hii ID ya huyu bwana. Ila sometimes yes sometimes No. Acha nipite, niepushe fedheha
Tafsiri mkuu?Angalia wenzio wanaojua nini maana ya biashara..
View attachment 3002316
Nitajaribu kuweka mifumo ya kudhibiti mapato na matumiziHakuna kuteswa wala kuteseka, biashara ibaki kuwa biashara na mahusiano yakabi kuwa mahusiano, hapo ni kuweka msimamo na sheria kali sana.
Yawezekana vijana wa mjini mnaendekeza sana hao binti wavaa vipedo ila, biashara haipaswi kuingiliwa naye hata robo ya chembe ya mchele.
Nitajaribu kuweka mifumo ya kupunguza hasaraungeomba ushauri kabla ya ww kukubali kufungua ofisi, yaani ushafanya maamuzi
ushauri wangu ni kwamba umayatimba mwanetu, utalia na kusaga meno
Itabidi uje uwe mkaguzi wa ndaniWw muongo muongo tatizo 😂
Kuna mkataba nitamsainisha; ingawa kwangu muhimu zaidi ni pesa, kama hatosumbua hapo hakuna shida.Mapenzi ni maagano kwahiyo usitegemee kuwa wewe utakuwa na sauti kuliko huyo mchepuko kwenye biashara.
Kama alikukuta na hiyo biashara basi atakuwa muajiriwa ila kama mnaanzisha wote hakuna hicho kitu kuwa atakuwa km muajiriwa😁😁😁😁😁
Mwanamke akishapata pesa hamtaelewana tenaNitajaribu kuweka mifumo ya kupunguza hasara
Hapo ni pagumu 😀😅😅😅😅 Scenerio yako na yangu ni pacha wasio fanana. Mimi mchepuko kanipa busness idea, na kuniongezea mtaji juu. Sema yeye hajihusishi nayo kila kitu naendasha mimi fully. Na hahitaji anything in return zaidi ya mimi kuendelea kuwa nae kimahusiano. Ni mke wa mtu na mimi nina mke. Sijajua hii safari itatamatika vipi. Wacha tuone.
Hapo yupo mwema kwasbb hiyo biashara haijaanza. Biashara ikianza usiache kuleta mrejeshoKuna mkataba nitamsainisha; ingawa kwangu muhimu zaidi ni pesa, kama hatosumbua hapo hakuna shida.
Ngekua mie ndo huyo mchep, nakupa yote halafu na faida nabeba yote....
Wale wa kataa ndoa wapo sahihi. Wasikilizwe😅😅😅😅 Scenerio yako na yangu ni pacha wasio fanana. Mimi mchepuko kanipa busness idea, na kuniongezea mtaji juu. Sema yeye hajihusishi nayo kila kitu naendasha mimi fully. Na hahitaji anything in return zaidi ya mimi kuendelea kuwa nae kimahusiano. Ni mke wa mtu na mimi nina mke. Sijajua hii safari itatamatika vipi. Wacha tuone.
Mwanamke akishapata pesa hamtaelewana tena
pitia ule uzi wa davis mosha utajifunza, mke wake alikuwa muhasibu kwenye kampuni yake, aliiba billions of money
akaanza kuliwa na mganga na kufikia hatua ya kutaka kumuwekea sumu mume wake
Acha nipite tu nduguSema neno mkuu, elimu haina mwisho, maisha ni haya haya; utajisikiaje pale una miaka 70+ halafu una watoto 20+ wamepanda hewani wanakuzunguka baba yao halafu wote ni wafanyabiashara; utajisikiaje?
Nitaajiri wengine pia ambao watakuwa wanaripoti kwangu moja kwa moja; kwa hiyo kama kutakuwa na ishara ambayo sio nzuri nitagunduaHapo yupo mwema kwasbb hiyo biashara haijaanza. Biashara ikianza usiache kuleta mrejesho
Don't trust a bitc**h
Ni kweli nimeona itanilipa ingawa wasi wasi mwingi; ndani ya siku 20 zijazo inatakiwa iwe imeanza.Mbona naona kama umeshafanya maamuzi tayari
Ni vizuri tupeane uzoefu mkuuAcha nipite tu ndugu