Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,129
- 62,144
Bahati nzuri tuliafikiana
Nipe ushauri wowote, kwa kuwa hawa viumbe hawaaminiki uko mbeleniTusubiri tuone maana umeshamaliza kila kitu
Bahati nzuri yeye atakuwa kama muajiriwa, pia nitajaribu kuweka vijana wa upande wangu katika kupunguza 'risk'ninacho jua mimi hapo biashara na huyo mchepuko wako lazima ufe kwa pressure π
Nitegulie kidogo mkuu?Mtego huo.
Acha fujo, ebu leta ushauri nisije kuangukia puaWa kupewa ushauri hapa hata simuoni..!! Naona umechemsha chai muda muafaka baridi limeanza shemeji πππ
Hiyo kurogwa, sijui nitaithibitishaje?πMafuta na maji hayachanganyikani mazee...
Otherwise umerogwa...π€
Ww muongo muongo tatizo πAcha fujo, ebu leta ushauri nisije kuangukia pua
Unaweza kuficha ila siku ukifa tu msibani kila kitu kitajulikana ,maiti yako mkeo atatamani aichape viboko
Mapenzi ni maagano kwahiyo usitegemee kuwa wewe utakuwa na sauti kuliko huyo mchepuko kwenye biashara.Bahati nzuri yeye atakuwa kama muajiriwa, pia nitajaribu kuweka vijana wa upande wangu katika kupunguza 'risk'