Biashara mtandaoni inalazimu kulipa kodi?

Biashara mtandaoni inalazimu kulipa kodi?

left eye

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
227
Reaction score
314
Habar wakuu,

Polen na majukum. Nina swal hivi kama unafanya biashara mtandaoni unawajibika kulipa Kodi na ilhali huna duka?
 
Sawa mana kuna siku tulidandiwa na mtu aliejitambulisha ni Askari na akaweka hoja io nlishangaa maana najuwa ivo
Kuwa makini siku hizi matapeli wengi

mi nawajua watu wengi wanafanya biashara mtandaoni na kodi hawalipi
 
Kuwa makini siku hizi matapeli wengi

mi nawajua watu wengi wanafanya biashara mtandaoni na kodi hawalipi
Dah walimtapel mfanyakaz wangu walipoona ilo halikufaa wakaleta hoja hamna kibal cha tfda na me sikuwepo eneo la tukio wakachukua pesa ndefu
 
Dah walimtapel mfanyakaz wangu walipoona ilo halikufaa wakaleta hoja hamna kibal cha tfda na me sikuwepo eneo la tukio wakachukua pesa ndefu
pole sana aisee

ila nakushauri kama kuna suala la vibali hakikisha liko sawa
 
Ngoja nijitahidi niandike kwa kiswahili: Sheria ya Kodi ya Mapato (CAP 332 R.E 2019) Kifungu cha 5, inakutaka kulipa kodi kwenye mapato unayoyapata kutoka kwenye biashara, ajira, na uwekezaji.
Ni wajibu wako kujipeleka mwenyewe TRA ili upatiwe TIN na baadae ufanyiwe makadirio ya kodi. Kama mauzo yako yanazidi 100,000k au wewe ni kampuni, itabidi utayarishe makadirio yako ya kodi na kuyapeleka TRA kabla ya 31/03. ya kila mwaka; na mwaka wako wa fedha ukiisha, unapewa miezi 6 kutayarisha mahesabu, yakaguliwe na mkaguzi aliyethibishwa na NBAA na kuyapeleka TRA ikiwa ni pamoja na kujaza ritani ya mwisho na kulipa tofauti ya kodi uliyojikadiria na kodi itokanayo na hali halisi (audited accounts)
Kwa ufupi kama unafanya online business unatakiwa kulipa kodi ya mapato, VAT, I/Duty na E/Duty where applicable.
I guess I am understood.
 
Ngoja nijitahidi niandike kwa kiswahili: Sheria ya Kodi ya Mapato (CAP 332 R.E 2019) Kifungu cha 5, inakutaka kulipa kodi kwenye mapato unayoyapata kutoka kwenye biashara, ajira, na uwekezaji.
Ni wajibu wako kujipeleka mwenyewe TRA ili upatiwe TIN na baadae ufanyiwe makadirio ya kodi. Kama mauzo yanazidi 100,000k au wewe ni kampuni, itabidi utayarishe makadirio yako ya kodi na kuyapeleka TRA kabla ya 31/03. ya kila mwaka; na mwaka wako wa fedha ukiisha, unapewa miezi 6 kutayarisha mahesabu, yakaguliwe na mkaguzi aliyethibishwa na NBAA na kuyapeleka TRA ikiwa na pamoja na kujaza ritani ya mwisho na kulipa tofauti ya kodi uliyojikadiria na kodi itokanayo na hali halisi. (audited accounts)
Kwa ufupi kama unafanya online business unatakiwa kulipa kodi ya mapato, VAT, I/Duty na E/Duty where applicable.
I guess I am understood.
Nliona wazir sikumbuki vizur akisema hatuhitajik kulipa kodi
 
Ngoja nijitahidi niandike kwa kiswahili: Sheria ya Kodi ya Mapato (CAP 332 R.E 2019) Kifungu cha 5, inakutaka kulipa kodi kwenye mapato unayoyapata kutoka kwenye biashara, ajira, na uwekezaji.
Ni wajibu wako kujipeleka mwenyewe TRA ili upatiwe TIN na baadae ufanyiwe makadirio ya kodi. Kama mauzo yako yanazidi 100,000k au wewe ni kampuni, itabidi utayarishe makadirio yako ya kodi na kuyapeleka TRA kabla ya 31/03. ya kila mwaka; na mwaka wako wa fedha ukiisha, unapewa miezi 6 kutayarisha mahesabu, yakaguliwe na mkaguzi aliyethibishwa na NBAA na kuyapeleka TRA ikiwa na pamoja na kujaza ritani ya mwisho na kulipa tofauti ya kodi uliyojikadiria na kodi itokanayo na hali halisi. (audited accounts)
Kwa ufupi kama unafanya online business unatakiwa kulipa kodi ya mapato, VAT, I/Duty na E/Duty where applicable.
I guess I am understood.
Na Kama nalipa nkienda TRA napoulizwa Kodi yangu ya pango najibu nin wakat sina place ya kuuzia ,na hata mtaji ninaenda kununua vitu kkoo visivyozid elfu 20 natengeneza dawa nauza online sasa hapo Kodi nailipa kimtindo upi
 
Unalipa Kodi ya mapato kama mauzo yako yanazidi 4,000k kwa mwaka if below. you are exempted. Kodi ina vitu vingi na vinategemea mazingira ya biashara yako. as for withholding on rent you have nothing to pay if there is no rented premises for business
 
Na Kama nalipa nkienda TRA napoulizwa Kodi yangu ya pango najibu nin wakat sina place ya kuuzia ,na hata mtaji ninaenda kununua vitu kkoo visivyozid elfu 20 natengeneza dawa nauza online sasa hapo Kodi nailipa kimtindo upi
Kodi ya pango ni mbwembwe tu za TRA.Hapo nyumbani unapokaa unalipa kodi?
 
Unalipa Kodi ya mapato kama mauzo yako yanazidi 4,000k kwa mwaka if below. you are exempted. Kodi ina vitu vingi na vinategemea mazingira ya biashara yako
Sawa ngoja nifatilie
 
Back
Top Bottom