Wadau nimenunua Shamba maeneo ya KIROMO Bagamoyo nataka kufanya sehemu ya kuzikia (makaburi) kwa dini zote. Pia tunatoa huduma ya kuchimba na kujengea Makaburi. Maana naona makaburi ya DAR (kinondoni, buguruni etc.) yamejaa. Karibuni sana.
Hivi unaruhusiwa kufungua sehemu ya makaburi bila kibali? Nahisi kama eneo la makaburi lina hati miliki ya serikali na heshima Fulani hivi...! sasa inapokuwa ni sehemu ya uwekezaji inanipa shida kidogo....., vipi mwekezaji akiamua kubadili matumizi ya ardhi yake? au kuna mkataba kwa kila kaburi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.