Kingdom Finder
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,119
- 1,392
Biashara kati ya Tanzania na nchi kama India na China tusipoangalia mwisho wa siku sisi ndio tutapata shida. Watanzania hatuna upeo mkubwa wa kushindana na watu kama hawa. Mambo yafuatayo tuyategemee kama tusipokuwa waangalifu.
1. Hawa watu ni waharibifu wa mazingira
2. Ni wanyanyasaji katika ajira na post zote kubwa watawaweka watu nchi yao
3. Watafanya tembo wetu waishe
4. Ni wazuri sana katika kukwepa kodi
5.Watatengeneza super profit na watatuacha na njaa.
Unaweza kundeleza madhara ya kuwakaribisha hawa watu na pia faida kama unavyoona.
Kwa maoni yangu katika kuwakaribisha hawa watu lazima vigezo na masharti yawepo ya kuwalinda watu wetu na mazingira. Pia Serikali iwafuatilie kwa karibu kuona kama wanatekeleza hayo masharti. Ningeshauri pia kuwepo na sheria ya ubia kati ya mtu wetu na hawa watu.
Ninawasilisha.