Bei itategemea na thamani ya bidhaa iliyopo siku ya kununua, tunauza drinks lakini unaweza kubadirisha biashara kulingana na mapenzi yako.
Duka liko Dar es Salaam, Stand ya Makoka, kwa wale ambao hawajui sehemu hii ni upande wa kushoto wa Land Mark Hotel (kama unaelekea Ubungo Stand) maeneo ya Riverside, kuna stand ya magari yanayochukua watu wanaokaa Kibangu na Makoka, barabara ilikuwa inatokeza darajani zamani lakini kutokana na mmonyoko hiyo barabara haipitiki tena ila magari yanazungukia kwenye bango la Lusekelo (Mzee wa upako). Ukitaka kuona tuwasiliane.