Wakenya hawafanyi makosa,wanayabeba kwa ma-tonnes kwenda viwanda vya kwao,sisi tunaendelea kunywa juice zinazotokana na artificial flavor.Serikali ingepiga marufuku hizi juice soko lingeongezeka na usikute hizi juice zenye ma-chemical ndo zinatumaliza na kansa!!!!