Lipia tangazoHabari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma . Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala siingizi chochote 😪 siku moja nikaona post humu jf Kuna dada alikuwa anauza belo mitumba anaitwa Jacky nikamcheki nikamwomba anielekeze ABC za hiyo biashara akauliza sehemu nayopenda kuanzisha nikamjibu Moshi , hapo hapo akanishauri kuchukua Mabello yanguo za baridi za watoto na mengine yanguo zajoto aliniuzia Tsh 400 ,000 na kunitumia Hadi Moshi ambapo moja kulikuwa na Pc 398 nikatafuta sehemu Soko lamemoria nikapata , nashukuru baada ya kuuza mzigo nilipata Return ya 720,000 na bado nilibaki na mabaki ya Buku Buku kibao ,, kutoka hapo ndio ikawa biashara yangu mzigo ukiisha namcheki ananitumia chapu .. kwasasa biashara imekua kua angalau namimi naweza kujiingizia kipato
Unaweza kumcheki kwa no 0692436124 akakushauri au ukachukua mzigo ..... Ila sio lazima tufanye biashara ya Aina moja mdau Ila biashara inalipa kuliko kukaa bure
Huyu ndo da Jacky mwenyeweHuyo dada jacky akulipe, umemtangaza huki, au dada jacky mwenyewe ndio wewe 😂🤣
Hivi ni visa vya ''new member''. Kna mtu kamdanganya nenda JF kajisajili kuna mazoba. Asijue kuwa hapa janja kama hizi ni mambo ya kale kabisa. Hii dunia ya leo kuna mtu anayetoa siri ya biashara yake kwa umma? Ili iweje? Mtu mwenye biashara yenye mafanikio siku zote anaficha ili isijulikabe na wengi na kuvuruga soko lake.Kuna watu wanaenda kulizwa siyo muda
M npo pia dox maimoria we upo wap kipande gan tujuane uniconnect na dada jack mkuuHabari Wadau!
Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.
Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala siingizi chochote 😪 siku moja nikaona post humu JF Kuna dada alikuwa anauza belo mitumba anaitwa Jacky nikamcheki nikamwomba anielekeze ABC za hiyo biashara akauliza sehemu nayopenda kuanzisha nikamjibu Moshi.
Hapo hapo akanishauri kuchukua mabelo ya nguo za baridi za watoto na mengine ya nguo za joto aliniuzia Tsh 400,000 na kunitumia Hadi Moshi ambapo moja kulikuwa na Pc 398 nikatafuta sehemu soko la Memorial nikapata, nashukuru baada ya kuuza mzigo nilipata Return ya 720,000 na bado nilibaki na mabaki ya Buku Buku kibao, kutoka hapo ndio ikawa biashara yangu mzigo ukiisha namcheki ananitumia chapu. Kwa sasa biashara imekua kua angalau namimi naweza kujiingizia kipato.
Unaweza kumcheki kwa no 0692436124 akakushauri au ukachukua mzigo ila sio lazima tufanye biashara ya Aina moja mdau Ila biashara inalipa kuliko kukaa bure.