biashara haramu ya binadamu

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
Mabinti wadogo wanachukuliwa toka mikoani nakuletwa Dar kwa minajili ya kufanya kazi za ndani wanasafirishwa Zanzibar ambako kuna mawakala wanao wasafirisha kwenda uarabuni kwa waarabu kwa ajili kuwaburudisha waarabu mawakala hao wakipemba wamekuwa wakimuuza binti bikra kwa dolla 5000/= wamekuwa wakisafilishwa na meli za mizigo.
 
hii habari ni ya kweli jamani, inatisha sana but tupeni reliable source
 
Kila kichwa wakala anachukua milioni nane. Duuuh! Na hii njaa, wazazi wenye vichwa vya panzi watawatafuta mawakala wenyewe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii habari niliwahi kuisikia, ila wanaouzwa sana ni wasichana wa kirangi na wanaotoka arusha na tanga. kutokana na rangi zao. lakini sina hakika kama ni kweli.
 
Mmmh nawachukia sana waarabu nawachukia vibaya mno.
 
Wanaenda kuwastarehesha ama wanaenda kuwa wafanyakazi wa majumbani?
Habari hii umeitoa wapi?
Huko mikoani wanawanunua kwa bei gani?
Mikoa ipi wanatoka hao mabinti?
Dar es Salaam wanatunziwa wapi kabla ya kusafirishwa?
Kama umegundua kuna mawakala , je majina ya mawakala ni yepi?:confused2:
 
Hii habari ina ukweli ndani yake ila sina uhakika kama kwa Tanzania jambo hili hutendeka.
Kwa nchi kama ya Kenya haswa manispaa ya Mombasa, kwa miaka mingi imekuwa ndio chanzo cha wanawake wadogo kwa wakubwa kupelekwa nchi za Mashariki ya Kati kwa ajili ya kutumikishwa kwa kazi za ndani na hata wakati mwingine wanatumiwa KIMAPENZI!!!
 
hii tena ni hatari nyingine

watoto wa jinsia zote au ni wa kike tu ndio wanaouzwa?
 
Juzi nimemsikia waziri mmoja mwanamama(KABAKA kama sijakosea) akiliongelea hili..
Nadhani kuna mambo mazito kwa maslahi ya nchi ambayo USALAMA wa taifa inabidi wayashughulikie kimya kimya na adhabu ya hawa mawakala n=iwe ni KIFO tuu..maana hakuna kitu kibaya kama kumuuza mtu kama kuku.......
 
Warabu-warabu hamna kitu zaidi ya warabu.

FYI night life in UAE/Baharain/Qatar and Oman does not matter which place and manily in hotels are full of girls who approche you for services , all kind of girls.

Tena basi usiombe kwenda Abu dhabi, Dubai, Baharain na Doha ndo kumekucha sasa unakutana na wasichana wa kila dunia tena wale wazuri haswa kutoka Ukraine, Bulgaria, Lebanese, Syrian, Iraqi, Brazilian, Angola, Ethopian na Morroco's wanatakia nini wa Tanzania.

Hivi Tanzania kuna wanawake wazuri? kama wapo ni wakuwahesabu tu :biggrin1:
 

nakuunga mkono tena watupe cc raia tuwaue wenyewe
 
maana wazazi wanawapa watoto wao watu wasiowafahamu?maskini wangejua!mungu awanusuru watoto wetu!
 
ina maana wazazi wanawapa watoto wao watu wasiowafahamu?maskini wangejua!mungu awanusuru watoto wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…