Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,947
- 12,517
Fanya biashara kwenye bahari huku kuna pesa na wawekezaji wachache sana.
1.Unaweza ukawa unakodi meli nzima( Time Charter) wewe unatafuta connection ya waagiza mizigo kutoka China na agent wa mizigo ya kuja Africa mashariki watumie meli uliyokodi. Kwa trip moja bei ya kulipia makontena na mizigo yote lazima upate faida zaidi ya 500million.
2. Unaweza ukaanzisha biashara ya kuuza engine za boti ndogo na spare zake na wewe uwe muagizaji mkuu.
Watu wote wa kununua rejareja wawe wanakuja kuchukua mzigo kwako.