Fungua Duka la mtaani uuze mahitaji ya nyumbani kama una nidhamu ya pesa unatoboa vizuri, tafuta fremu majengo, mlezi, area A, makole, meriwa, kisasa, n.k fanya kazi mkuu.
Wake za watu, mademu na watoto wa kike weka pembeni wewe fanya kazi.

Kuna mrombo mmoja anabiashara duka genge..anakomaa mwenyewe na kwa nyuma ameweka pombe watu wanaangalia mpira....na uhakika mauzo kwa siku ni m..ukimgongea hata saa 9 usiku unataka fegi..unapata.