CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,475
yaani jamaa kia siku ni ugomvi,makasiriko mipango yao shaghalabalagala walitangaza international breaks wataenda Arusha na watacheza mechi mbili za kirafiki na team za kenya kwamba mipango yote imekamilika wakapiga u turn ya kufa mtu kwamba muda hautoshi wakaishia kucheza na Jku.Muda siyo mrefu hii mikeka mtaikimbia.
unahisi nimekaa chini nikatunga hizo data?mabingwa wa kihistoria since 2017 mna point 1 GODDAMN itUzi wa chizi mihogo
Wala sijabisha, ninachoshangaa umeshindwa kulitamka jina la yanga utafikiri shetani ana likwepa jina la Yesuunahisi nimekaa chini nikatunga hizo data?mabingwa wa kihistoria since 2017 mna point 1 GODDAMN it
Hapan hilo jina lilikokotolewa na shabiki wao maarufu aitwaye Mashaka ni nick name tu mkuu lugha ya kihehe inamaanisha kitu mlendamlenda kitu cha hovyohovyo ni kama Arsenal unavyowaita the GunnersWala sijabisha, ninachoshangaa umeshindwa kulitamka jina la yanga utafikiri shetani ana likwepa jina la Yesu
Hakuna kombe la points, tutafute ubingwaunahisi nimekaa chini nikatunga hizo data?mabingwa wa kihistoria since 2017 mna point 1 GODDAMN it
Ile timu inaendeshwa Kama timu ya ndondo halafu wanajisifu wamempata senzo na manarayaani jamaa kia siku ni ugomvi,makasiriko mipango yao shaghalabalagala walitangaza international breaks wataenda Arusha na watacheza mechi mbili za kirafiki na team za kenya kwamba mipango yote imekamilika wakapiga u turn ya kufa mtu kwamba muda hautoshi wakaishia kucheza na Jku
Walishasema mechi na azam ni arusha leo isharudishwa taifa, Its high time waichukulie michezo ya CAf serious ku maintain points za shirikisho huko CAf ni kitu kigumu ili teams 4 ziendelee kwenda na kupandisha value ya nafasi ya 3 na ya nne ,mzigo wote umeachiwa simba ila atleast Biashara wanaweza saidia mwaka huu maana zile points 2.5 za namungo zimesaidia sana
Yanga watapita hapa kimya kimya tu! Si tunawajua utopolo walivyo!Ikumbukwe hadi sasa TFF (Tanzania) tuna points 27.5 huko Caf zililizowezesha nchi kuingiza teams 4 yaani simba ana 24, namungo 2.5, utopwenga 1
Simba ni ya 15 kwa sasa ,namungo ni ya 60 hivyo biashara kiingia makundi atalamba points zake 2.5 na kumfikia namungo kwenya nafsi ya 60 huku mabingwa wa kuchonga mdomo utopwinyo wakiwa nafasi ya 74 na point yao 1 (tangu 2017)na inatarajiwa mwaka huu watashuka zaidi
* kwa wasiojua hii ni CAF 5 YEARS RANKING SYTEM ,endeleeni na utoto wenu wa kutolewa rounds za awali kila siku na mikwara ya mdomoni na makanjanja yenu ya media
View attachment 1975739View attachment 1975740 View attachment 1975741View attachment 1975743
View attachment 1975742
Halafu wakiokota makombo wanajiona wajanja!!!Ile timu inaendeshwa Kama timu ya ndondo halafu wanajisifu wamempata senzo na manara
Nilisikia as Vita walishinda kesi yao CAS wale wa mikopo sijui itakuwajeWanasubiri kubebwa wakashiriki kimataifa, halafu bado wabebwe waazimwe na wachezaji wa kwenda nao kushiriki, utopolo ni gunia la misumari.