heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,033
- 13,350
acha zipande tu maana serikali inategemea vilevi kupata fedha za kuendesha nchi,..
mkuu mimi nilianza kunywa beer mwaka 1996 ndio kipindi hicho namaliza form four bagamoyo sec
_beer ilikuwa 600
2000 pombe tatu na chenji inarudi
Nilianza kunywa bia kwa sh.750 /-&800/- malengo niache bombe ifikiapo bei 1500/- sasa ni sh.2200/--2500/- bado napiga mbeta.
.
Nilianza kunywa bia kwa sh.750 /-&800/- malengo niache bombe ifikiapo bei 1500/- sasa ni sh.2200/--2500/- bado napiga mbeta.
.