ipogolo JF-Expert Member Aug 15, 2011 6,275 5,961 Oct 21, 2011 #1 kwa wanywaji wa beer wanaijua beer ya WINDHOEK. Kinywaji hiki kinautangaza mji mkuu wa nchi ya Namibia unaoitwa Windhoek. vipi Tanzania Breweries (TBL) wasiutangaze mji wa Dar es salaam kwa kuiiita beer ya Safari kwa jina la SAFARI DAR BEER?
kwa wanywaji wa beer wanaijua beer ya WINDHOEK. Kinywaji hiki kinautangaza mji mkuu wa nchi ya Namibia unaoitwa Windhoek. vipi Tanzania Breweries (TBL) wasiutangaze mji wa Dar es salaam kwa kuiiita beer ya Safari kwa jina la SAFARI DAR BEER?