Bi Kijo Bisimba Kwani Vyama Vya Upinzani Ni Adui

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
Bi Kijo Bisimba amesema kwamba "viongozi waliokuwa madarakani mwaka 1995 na waliopo madarakani hawajaelewa umuhimu wa vyama vingi ambavyo vipo kikatiba na kama wanaelewa hawataki viendelee kuwepo"

Kijo Bi Simba anasema kuna kiongozi mwandamizi wa Serikali alitamka kwamba Tanzania tuna maadui watatu na sasa tumepata adui wa nne Ambaye ni VYAMA VYA SIASA VYA UPINZANI.....

Amesema hayo katika Kongamano la KAVAZI.....

Kama kauli ya kiongozi mwandamizi wa Serikali anaona vyama vya siasa vya upinzani ni adui basi Tanzania tuna safari ndefu sana kupata Demokrasia ya kweli na ya haki na Maendeleo......

Mungu tusaidie Tanzani
 
Ni kiongozi gani huyo?
 
kamanda sirro tuma vijana wako wakazingire nyumbani kwa huyu mama
 
Back
Top Bottom