Mauja JF-Expert Member Joined Oct 2, 2014 Posts 508 Reaction score 275 Nov 30, 2014 #1 Hivi huyu msanii kizee wetu alietamba na nyimbo zake muda fulani hivi yuko wapi Mwanzoni alisema hawapi tena wasanii nyimbo zake coz hawamlipi vizuri akajinadi kua anaimba mwenyewe sasa nina mwaka sijamsikia Nani anajua habari za bi cheka wadau
Hivi huyu msanii kizee wetu alietamba na nyimbo zake muda fulani hivi yuko wapi Mwanzoni alisema hawapi tena wasanii nyimbo zake coz hawamlipi vizuri akajinadi kua anaimba mwenyewe sasa nina mwaka sijamsikia Nani anajua habari za bi cheka wadau
M mwakibete JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 3,069 Reaction score 2,313 Nov 30, 2014 #2 Labda Mh! Temba anajua
Labeuty Member Joined Nov 29, 2014 Posts 15 Reaction score 5 Dec 1, 2014 #3 Duh huyo Bibi uzee kauacha chalinze halafu wamefanana sana na mh pinda Sijui nimapacha wa mfuko mmoja
Duh huyo Bibi uzee kauacha chalinze halafu wamefanana sana na mh pinda Sijui nimapacha wa mfuko mmoja
K kamainaumasema Member Joined Sep 22, 2014 Posts 75 Reaction score 19 Dec 1, 2014 #4 kaolewa bibi cheka
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Dec 1, 2014 #5 KoomSon said: kaolewa bibi cheka Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema katulia ili atimize majukumu yake kama mke
KoomSon said: kaolewa bibi cheka Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema katulia ili atimize majukumu yake kama mke
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,065 Reaction score 23,676 Dec 2, 2014 #6 yupo anatafuta pesa ya fundi sh200000, anasema ameshanunua matofali na saruji bado hela ya fundi kwa mwenye msaada amtafute bi cheka au mkubwa fella
yupo anatafuta pesa ya fundi sh200000, anasema ameshanunua matofali na saruji bado hela ya fundi kwa mwenye msaada amtafute bi cheka au mkubwa fella
Nazareth JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 247 Reaction score 131 Dec 2, 2014 #7 Yupe bize na studio mwanzoni mwa mwaka ujao wanatoa album yao ya pamoja aliyoshirikiana na ali kiba
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Dec 2, 2014 #8 KoomSon said: kaolewa bibi cheka Click to expand... Haha haaaa