Beyond Rwanda's all-rosy image ...

Nyie Wanyarwanda, Mnatakiwa kumwacha Rais Kagame aweke nchi yenu safi. Kwa nini mnamsumbua?? Kila siku nyinyi kazi yenu kufunga mizigo,mbuzi, kuku, mikeka, vipi nyinyi? Mmempata kijana mzuri anawatengenezea nchi yenu,anawasomesha, anawapa maisha ya matumaini,bado mnataka fujo tu..Mimi kama Mtanzania, tena wa Kagera,nimewaona tangu miaka ya sabini nikiwa mtoto, mmefunga mizigo mnakimbia, nikaambiwa kuwa ni tangu miaka ya 59 huko, bado 21st century manaendelea na fujo... TULIENI,na mpeni support huyo Rais wenu!! Msije mkalia mkimkorofisha. NYIE VIPI???Acheni UKABILA!!

You stink!
 
Back
Top Bottom