ha ha ha..... weweWatu wengine dhambi zao ni kubwa mno watachomwa kwa magogo ya mti wa mbuyu
Nani kakuambia shetan atachukua ulimwengu?waislam wapo na ndio wapinzani wakubwa wa shetani sasa vita inaendelea islam vs shetan subir mpira uishe.Pia iv vtu vkitokea unaona kma mchezotu unaweza uciamini but haipo kimashara shetani anachukua ulimwengu
Mfuasi akiwemo kanye west kivipi??? Maana huyu Kanye na yeye si Ana dini yake inaitwa Yeezus na ana-act kama god....
Kwa hiyo god Yeezus ni mfuasi wa god beyonce teehee teeehe