Betting katika michezo

Betting katika michezo

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Wadau,
Hivi sasa kuna huu mchezo wa ku-bet michezo ya mpira, ni sawa inawezekana watu wanafaidika lakini tatizo ambalo lipo na nadhani linaweza kuja kuwa kubwa n vijana wengi sasa hawataki kufanya kazi kwa kisingizio cha kubet kwamba ya nn niende kazini wakati kesho nachukuwa 50,000.

Ok ni mtazamo wa mtu lakini kubwa zaidi linaangukia kwa wanafunzi ukienda kwa hawa venders unakuta wanafunzi tena wa msingi ni wengi kupita kiasi means wanapoteza masomo kwa ajili hiyo, kwa nini wasiweke limit ya umri?

Serikali kama serikali mmeliona?
 
wengine hawaendi kazini kwa kuuza sembe tu, na wanatoka kweli.

kama ni chanzo halali cha mapato kwanini asifanye? sio lazima kila mtu aajiriwe kama wewe, wengine misheni town zinawatoa
 
Wadau,
Hivi sasa kuna huu mchezo wa ku-bet michezo ya mpira, ni sawa inawezekana watu wanafaidika lakini tatizo ambalo lipo na nadhani linaweza kuja kuwa kubwa n vijana wengi sasa hawataki kufanya kazi kwa kisingizio cha kubet kwamba ya nn niende kazini wakati kesho nachukuwa 50,000.

Ok ni mtazamo wa mtu lakini kubwa zaidi linaangukia kwa wanafunzi ukienda kwa hawa venders unakuta wanafunzi tena wa msingi ni wengi kupita kiasi means wanapoteza masomo kwa ajili hiyo, kwa nini wasiweke limit ya umri?

Serikali kama serikali mmeliona?

Tatizo watu wamepigika ile kiuhakika ndio maana wanatafuta njia yoyote ya kuingiza kipato, tena hao mimi siwashangai wapo humu JF wanaokesha kwa malipo ya buku 7 tena wengine wana vielimu vyao tu.
 
Acha wivu kama unajua maisha yanatafutwa kwa kuenda kazini umebugi wacha watu watupie mikeka bhana
 
Back
Top Bottom