i totally agree with you wake wanachakachua ndoa zao wanatutongozea wanaume zetu wengine mpaka wanataka kuwabaka
wanaume ndo kabisaaaa mume wa mtu mda wowote unambeba juu juu
aiseee walio kwenye wanavumilia mengi khaaaa
hawataki tu kusema.
Halafu ukiwakuta sasa mume wangu ananipenda khaa kumbe mjini hapa wapo wenzio watatu na wao wanamuita hivo hivo na anawatunza kama wewe anavyokujali na pengine zaidi.
Kama ikitokea siku humu jf watu waelezee matatizo ya ndoa zao au wenza wao wawe wakweli. teh teh teh
Wadau;
Ndoa ni ndoano.kwa maisha ya sasa ni vigumu sana kuwa na ndoa yenye furaha,ni bahati.Usanii umekuwa mwingi sana.Uongo ndo routine,sio kwa mke wala kwa mme.Kinachotofautiana ni uwezo wa watu kuhimili mikiki ya ndoa hizo.Lakini zote ni majanga tu.
Mfano.Mimi na mchumba wangu kwa wiki sasa namwona hayuko sawa ,nimetumia mbinu nyingi sana kujua ni nini shida,nimemuuliza taratibu kwa mapenzi ya hali ya juu.Lakini best ananiambia hana shida yuko sawa tu.Sometimes namsemesha hasikii narudia kama mara tatu alafu anashtuka kwamba namuuliza yeye.Yaani hayuko na mimi.Hasa tukiwa kwenye gari nadrive namwona kabisa hayupo na mimi kimawazo.Hii ishu imenikwaza na kunifikirisha sana,Kwamba kama huu ni Uchumba tu,Je ndoa itakuwaje,Si majanga tu.Mtu hayuko sawa na hasemi,sasa mi ntamfanyaje jamani,hebu nishaurini,naogopa mwenzenu
hahahahah Really!
Tatizo unajifanya kwamba unajua kukea sana. Sikiliza, kuoa au kuwa na mchumba sio sababu ya kuacha kuishi maisha yako na kuishi ya mwenzio. Interaction kati yenu inatakiwa iwe 25%pekee na 75% unatakiwa uwe independent. Kama mtu hayuko sawa na hataki kukuambia, fine, endelea na maisha yako. By the way atakuwa anakupinguzia mawazo juu ya matatizo yake. We endelea na maisha yako, akijisikia kukuambia atakuambia, akijisikia kuacha aache. Mkijifanya mnajua kukea sana mnawaboa wenzenu, na mnawafanya wawaone cheap useless entities...Wadau;