Betry icon haionekani kwenye laptop

Betry icon haionekani kwenye laptop

HPC 1

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
83
Reaction score
25
Natumia laptop aina ya hp pavilion os ni window 7 professional. Tatizo ni kwamba haioneshi icon ya betry ambayo itanisaidia kujua kiwango cha charge nimeshajaribu kwenda kwenye control pannel lakini hiyo icon haipo kabisa naombeni msaada wa kuirudisha icon hii muhimu....
 
Tuwekee screenshot ya hiyo computer huenda ipo kwenye trey iliyojificha mkuu
 

Attachments

  • 1397156771492.jpg
    1397156771492.jpg
    35.6 KB · Views: 45
  • 1397156807933.jpg
    1397156807933.jpg
    56.6 KB · Views: 44
Hiyo ndio screen shot mkuu

Duuu!! Hiyo aina ya laptop yako zina shida sana ya graphics chip,( NVIDIA GRAPHICS) so kaa mkao..kuhusu tatizo lako nenda control pane>>power setting option,,fanya setting ya batt yako hapo kuna seting ya kuifanya ionekane,,sorry kwa kuingiza mada isiyo husika kuhusu graphics lakini ni tahadhari mkuu.
 
Nimesolve tatizo kwa kubadili operating system
 
Back
Top Bottom