Battery gani za solar ambazo unanunua zinaharibika kwa haraka? Battery nyingi za solar zinazopatikana kwa bei rahisi hazina uwezo mkubwa na hazidumu.
Ukichanganya na poor charge controllers, battery nyingi zinakufa kabla ya wakati.
Jaribu brands zifuatazo uone utofauti:
1. Dekka
2. Rolls Surrete
3. Leoch
4. Ritar (kama unaweza kupata authorised dealer, maana copy za ritar ni nyingi sokoni)
Hizo tatu za juu ni premium batteries, ingawa na bei yake imesimama. Zikiwa maintained vizuri hautajuta. Zinaweza kutumika hadi miaka kumi.