Betri yenye nguvu zaid/inayo2nza chaji kwa mda mrefu

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,196
4,552
Ndugu wanajamii,napenda kuuliza nimekuwa nkiona majadiliano ya jinc ya kuitambua cm ambayo inabetr inayotunza chaji mda mrefu hasa kupitia specification za simu husika.Binafs yangu bado sijaelewa kwa kna mnatofautishaje hzo specs,hvyo anayejua anijuze kwa kunieleza kwa kna .ASANTEN
 
tunatofautisha kwa kutumia unit za umeme wa betry ambazo hutambulika kama mah au milli ampere hour.

unaponunua simu au betry unaangalia kwa nyuma utaona kuna namba imeandikwa then kwa mbele utaona mah

mfano 2000mah

jinsi inavyokua na namba kubwa basi ndo jinsi inavyokuwa battery nzuri.

pia simu yenye mambo mengi basi inahitaji battery kubwa inabidi pia uliangalie hilo wakati unapima uzuri wa battery.
 
Kama unaona battery yako haitoshi sana jaribu kununua extended battery zipo madukani kulingana na kampuni ya simu yako
 
tunatofautisha kwa kutumia unit za umeme wa betry ambazo hutambulika kama mah au milli ampere hour.

unaponunua simu au betry unaangalia kwa nyuma utaona kuna namba imeandikwa then kwa mbele utaona mah

mfano 2000mah

jinsi inavyokua na namba kubwa basi ndo jinsi inavyokuwa battery nzuri.

pia simu yenye mambo mengi basi inahitaji battery kubwa inabidi pia uliangalie hilo wakati unapima uzuri wa battery.

Mkwawa sasa kama cim inatumia mah 1200 na wAtengenezaji wanasema inauwezo wa kutumia mah 1200 huoni kama ukifoji na kutumia mah 2000 kuna madhara
 
Mkwawa sasa kama cim inatumia mah 1200 na wAtengenezaji wanasema inauwezo wa kutumia mah 1200 huoni kama ukifoji na kutumia mah 2000 kuna madhara

Sidhani kama kuna madhara. Unachofanya ni kuongeza nguvu ya betri yako. Kama hizi smartphones nyingi zinatumia sana betri. Mfano blackberry curve 1 and 2, default batteries zake nyingi ni 1150mah lakini kuna batteries nyingi zinauzwa mpaka 2400mah. Hii inamaanisha kama unachaji kila baada ya masaa 6 battery yako it will only mean that you will charge after 12 hours coz it has double energy of the normal industry battery.
 
Mkwawa sasa kama cim inatumia mah 1200 na wAtengenezaji wanasema inauwezo wa kutumia mah 1200 huoni kama ukifoji na kutumia mah 2000 kuna madhara

mkuu kama hekimatele alivyokujibu yani wingi wa mah hauna madhara sababu wanaeka volt zile zile 3.7 au 5.

mfano wake hapa ni sahani ya chakula ukiijaza chakula kingi au chakula kidogo haina madhara. sababu hukili chote kwa pamoja unakula matonge tonge hadi inaisha.

hizo mah haziingii zote kwenye simu kwa wakati mmoja zinalika kidogo kidogo hadi zinaisha
 
Bei ya hzo betr ikoje

extended battery zinakua ghali sana kaka hasa kama simu yako ni ya bei ghali. moja kati ya kampuni ninayoiaminia ni mugen power wakitoa betry ujue ni mara 2 ya original sema bei ndo inabidi ufumbe macho halafu ununue.

mfano galaxy s4 ina battery ya 2600mah lakini hawa mugen power wakaimprove wakatoa betry ya 5500mah ambayo ni zaidi ya mara 2. sema bei ya hio battery ndio dola 89 (around laki na nusu)

nenda site yao google mugen power angalia simu unayotaka extended battery yake
 
Kilangi (Mwanzisha mada), Hekimatele, Chief Mkwawa na wachangiaji wengine; nawashukuru sana kwa michango yenu, nipata mwanga wa jinsi ya kupambana na tatizo linaloikabili simu yangu. Ngoja nijipange kununua betri yenye maAh nyingi.

Ama kweli JF ni kisima cha maarifa.
 
Sema ubaya wa extended battery ni kuwa simu inakuwa kubwa sana katika back cover yake... maan extended battery wanaongeza upana wa battery unaweza usiweze kuiweka mfukoni atii.. hebu Jaribu kuingia YouTube uone mwenyewe.

. Ila kwa ushauri zaidi Jaribu kutumia extended battery kutoka kampuni ya simu yako mwenyewe. Mfano Samsung huwa wanatoa extended battery ya simu zao na huwa wanaongeza upana kidogo sana kulingana na back cover ya simu yako. Ukiangalia Samsung galaxy s2 extended battery zake zinalingana kabisa na simu haziifanyi iwe kubwa kwa nyuma.

Na bei zake si kubwa sana maana Samsung galaxy s2 huwa inakuja na 1650mhA na wanaongeza mpaka 2000mhA. Wanakuuzia Tsh 20,000
 
Pia, mnaweza kutumia power bank, mfano mimi nilinunua sh 60,000 hiyo power bank ina mah 20,000 hivyo nikiichaji power bank yangu usiku mmoja huwa naitumia zaidi ya wiki. Na kwa simu yoyote ina out mbili ya amp 1 na amp 2, so inasaidia kuchaji vitu vingi on the GO.
mfano hapa nipo kwenye meli natoka ukerewe naangalia movie cna wasiwasi coz power bank ipo, mah 20,000
 
kaka nataka ya mah 20,000 ntaipata wapi?
 
hakika king mkwawa nimgodi unaotembea tuko pamoja kaka ucicte kutoa msaada pindi nkihtaji
 
Pia, mnaweza kutumia power bank, mfano mimi nilinunua sh 60,000 hiyo power bank ina mah 20,000 hivyo nikiichaji power bank yangu usiku mmoja huwa naitumia zaidi ya wiki. Na kwa simu yoyote ina out mbili ya amp 1 na amp 2, so inasaidia kuchaji vitu vingi on the GO.
mfano hapa nipo kwenye meli natoka ukerewe naangalia movie cna wasiwasi coz power bank ipo, mah 20,000
kwani hizo power bank zinauzwa wapi?? maana naona na huu umeme wetu wa mafungu kwa sie JF addicts na simu zetu yaweza tufaa hata kama tupo Inyonga:hail:
 
kama unamtu mwanza mpatie 60,000 then unipm namba yake nitaapatieni hizo power bank za mah 20,000
 
Back
Top Bottom