Jamani wanajamvi salama? Natafuta betri ya hp min laptop mwenye kuwa nayo naomba tufanye biashara. Au anaejua waliko mafundi wachakachuaji wa betri tafadhali nijulishe.
Check na agent wa HP yuko opossite na jengo la ILO maeneo ya posta mpya.
Utapata kitu genuine au ukiosa apo nenda sophia house kuna duka opposite na maktaba house cheki nao