Jamani kuna best yangu hapa mtaani alitokea kumpenda sana mwanamke wa kichina mwishowe wakaoana. Tatizo likaja yule mchina alikua mkorofi sana kila siku jamaa alikua anapigwa sana ma kungfu, makarate na judo mpaka anamkimbia mkewe lakini baada ya miezi 6 hv ndipo jamaa akajagundua kuwa mchina wake ni master wa kungfuu martial arts tena ana black belt ndio maana anapiga sana kungfu.
Sasa amekuja anaomba ushauri kama ampige talaka mkewe hili aepuke na vibano vya mchina wake ama lah!
Sasa amekuja anaomba ushauri kama ampige talaka mkewe hili aepuke na vibano vya mchina wake ama lah!