Best yangu kaoa Mchina master wa kung fu, sasa anajuta

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Messages
2,574
Points
1,250

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2015
2,574 1,250
Jamani kuna best yangu hapa mtaani alitokea kumpenda sana mwanamke wa kichina mwishowe wakaoana. Tatizo likaja yule mchina alikua mkorofi sana kila siku jamaa alikua anapigwa sana ma kungfu, makarate na judo mpaka anamkimbia mkewe lakini baada ya miezi 6 hv ndipo jamaa akajagundua kuwa mchina wake ni master wa kungfuu martial arts tena ana black belt ndio maana anapiga sana kungfu.

Sasa amekuja anaomba ushauri kama ampige talaka mkewe hili aepuke na vibano vya mchina wake ama lah!
 

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Messages
4,951
Points
2,000

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2012
4,951 2,000
Atakuwa kaoa mchina mzee huyo. Idadi kubwa ya kizazi kibichi kinachofaa kuliwa na vijana hawajui kung fuu. Hata wanaotoka Henan province kwenyewe hawajifunzi siku hizi.
 

Forum statistics

Threads 1,391,138
Members 528,375
Posts 34,074,566
Top