Best Western Coral Beach Hotel, Masaki

kujirusha...one weekend a month kulikuwa na party fulani hivi ndio inaitwa groove theory.
wow! mambo mazuri hayo bwana bila shaka mlifurahia sana! miaka gani hiyo ilikuwa?
 
yeah ila wamehamisha venue,last time ilikuwa safari carnivore...

Age group ya washiriki ikoje mkuu? isije kuwa ni watu aina flani pekee ndo wahitajiwa bwana!:confused2:
 
Age group ya washiriki ikoje mkuu? isije kuwa ni watu aina flani pekee ndo wahitajiwa bwana!:confused2:

22-27 ingawa wazee wabishi akina sisi tulikuwa tunajichanganya! huko 'u know when i was in L.A' nyingi sana mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…