Badala ufundishe watu njia za kutafuta hela na kufanya kazi kwa juhudi, unafundisha jinsi ya kufanya mapenzi.
Ni vyema elimu hii ungewafundisha watoto wako kama unao, na kama hauna subiri ukishawapata uwafundishe. Itawasaidia maishani.
Mbona sijaona kipengele cha kula jicho?
Sasa wana tunaanza ku complicate maisha.
Hizi mambo hazina manual wala instructions tuwekaneni tu.
nikajua ni tips za betting.
Hiyo match lazima zipigwe penalti maana sio kwa droo hiyoWhy am i nyegering after reading this?
Hebu kesho jioni nikaombe match japo haikuwa katika ratiba
Why am i nyegering after reading this?
Hebu kesho jioni nikaombe match japo haikuwa katika ratiba
Niliishia katikati sikutaka kupata aibu🤓