MKUU NANI KWANI ALIETUNGA HAPA KAZI TUU??Hii awamu imeng'ang'ania hapa kazi hapa kazi tu aliyeitunga mwenyewe imemuua
Kwa mtindo huu tunajenga nchi ya mayatima wengi asee,.naona tunaokufa sana ni vijana tunaacha vikongwe ndani ambao wanatutegemea kwa kila hali...Angalia Unajua ile haikuwa Stroke marehemu alikuwa na Msongo mkubwa ambao pia unasababishwa na long working hours bado nyumbani kuna mambo ya kifamilia hofu ya kufukuzwa kazi papo kwa hapo
Kujiandaa na media Interviews,mabosi kuomba ngono,akikataa anatengezewa majungu
Kwakweli mambo yanayochangia Stress ni mengi Unyanyapaa wa Mabosi huku nyumbani mume nae ni sio muelewa.
Serikali hii ya hapa kiazi tu inastawi kwenye mazingira ya kuwatia hofu wafanyakazi na wananchi kwa ujumla
Mungu atawalipa watu hapahapa duniani
Very Sad! Polisi wamepewa amri ya Kuua raia bila kuwafikisha Mahakamani.Kwa mtindo huu tunajenga nchi ya mayatima wengi asee,.naona tunaokufa sana ni vijana tunaacha vikongwe ndani ambao wanatutegemea kwa kila hali...
RIP Gloria
Ooh my poor country😭😭😭Very Sad! Polisi wamepewa amri ya Kuua raia bila kuwafikisha Mahakamani.
Sasa hebu fikiria hata kama wewe ni raia mwema lakini Mke wako anakuja kukulalamikia Kuna Baba mmoja Askari anamuomba Ngono....daah sasa utafanyaje na huyo askari kama kampenda sana mkeo anaweza kukuuwa na ili afaidi mkeo kwa kukusingizia kuwa wewe ni jambazi sugu.