Best To Not Sweat The Small Stuff, Because It Could Kill You


"Nasema hivi tangaza bidhaa za misitu saa11alfajiri hadi saa 12 jioni..ili tuende na Ka kasi ya HAPA KAZI TU"...Halafu asifiwe..
UMESIKIAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!
 
Jaakaya Kikwete tunakukumbuka saaaaaanaaaaaa!!!!!!!!.....anzisha Chama halafu gombania uraisi uone.
 
Washamba ndivyo walivyo Mkuu. Pamoja na kujifanya ana hasira sana, chuki, visasi na vitisho vya kufa mtu madudu kila kona. Watanzania wengi wamekata tamaa kwa huyu.
Sio kweli. Tunaimani nae, na mwakani nitampa kura yangu, ya mke wangu, na nitahakikisha narudi kijijini kwetu kumtafutia nyingine 1000
 
Yote hiyo ni kwa sababu ya kukosa maarifa ...
Biblia inatuhasa tuwe wa kiasi - KAZI TU IMETOKEA WAPI?

Yule Msungu ... anasema .. "too much of anything is harmful" wewe unasema HAPA KAZI TU - wapi na wapi...

Kwa kila jambo lazima tuwe wa kiasi.
 
Kula Bata ni Muhimu hapa kazi tu hata kwa mijeledi strsss Binadamu tunatakiwa kupumzika kufurahi kunaongeza maisha

Boss wako kutwa kuchwa kupambana na watu thus amejaa stress,amejaa simu, NURU hana,maisha mafupi yafurahie kila dakika
 

Ukijitambua you’ll do the right thing for your Country.

Sio kweli. Tunaimani nae, na mwakani nitampa kura yangu, ya mke wangu, na nitahakikisha narudi kijijini kwetu kumtafutia nyingine 1000
 
Kifo chake kilinihuzunisha sana,na jinsi kilivyompata daah,.nilijua kuwaza siku ile huku nikiiangalia mara kwa mara ile video clip..

Ndio stress ama???
Angalia Unajua ile haikuwa Stroke marehemu alikuwa na Msongo mkubwa ambao pia unasababishwa na long working hours bado nyumbani kuna mambo ya kifamilia hofu ya kufukuzwa kazi papo kwa hapo
Kujiandaa na media Interviews,mabosi kuomba ngono,akikataa anatengezewa majungu

Kwakweli mambo yanayochangia Stress ni mengi Unyanyapaa wa Mabosi huku nyumbani mume nae ni sio muelewa.

Serikali hii ya hapa kiazi tu inastawi kwenye mazingira ya kuwatia hofu wafanyakazi na wananchi kwa ujumla
Mungu atawalipa watu hapahapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…