haaaa simtaji na yupo online now
ma t.o. wengi ni wazushi tu. wengi ni watu wa kusoma sana bila kukesha darasani hafaulu,
chuo things re different. the same question can have multiple of answers depending on perceptions na how the world is changing
huitaji kukesha ili ujibu questions za chuo. u need to be a thinker
ndo maana wengi tunawasahau
Unaposema huitaji kukesha ili ujibu maswali katika level ya chuo kikuu na kwamba u need only to be a thnker sio sawa bwana..
Labda kwa taaluma uliyosoma wewe lakin kwa Wanazuoni wa Sheria ukiulizwa Elements za crime ni sawa na kuulizwa 1+1 lazima kitu kiwe hicho hicho wala hakuna habar ya multiples.. Huo nimetoa ni mfano tu lakin kwa taaluma kaama ya sheria kila kitu kipo kwenye Sheria zilizotungwa hivyo unachotakiwa ni kwamba usitoke nje ya vitabu ndio maana uwa tunabanwa kwamba jibu swali kwa kufanya refference ili kuzuia ujanja ujanja wa kila mtu kuja na lwake..!!
Jamani, usiwalaumu. Je kuna mazingira gani endelevu yalioandaliwa kuwaendeleza? Wengi wakiingia chuo wanashusha morali kwa sababu hawaoni u-special wao tena.
Wizara husika ilibidi iwe na mikakati ya kuendeleza vipaji hivi
Leo hii China na India wamekuwa wazuri wa kuendeleza vipaji hivi. Hawajafika hapo walipofika kwa bahati mbaya.. Marekani wako tayari hata ku-import vipaji maalum kwa gharama zozote.
Sisi huku hatuna hiyo kitu
Hujaulizwakuna member mmoja huwa anapenda sana shinda jf 24 hrs na ni manager kwenye telecom company alikuwa TO mwaka wetu jina lake la utani maarufu enzi hizo ndio analitumia mpaka humu ndani