FARU JEURI
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 377
- 299
Ana 2 album i think tusubiri mda utaongea. As for now YES he is best for what he does. Anawakalisha wengine vbya mno. Sit down and be humbleIs Kendrick Lamar the best rapper ever..!?
If yes,then why..!?
If no,then why and who do you think is the best rapper ever..!?
View attachment 496529
Huwa nashindwa nimuweke nani wa kwanza kati ya Kendrick na Eminem...Eminem
Ofcos Nas ana flow nzuri,88-95 Nas alikuwa kwanza bado nas amekuja kutake over after 98 kuja huku kipindi ambacho pac ameshaondoka
Pitia ranking sites zoteOfcos Nas ana flow nzuri,
Pia lyrics zake za kiutuzima zaid, ni waz kuwa ni one of the greatest lyricists in hip-hop.
Sauti ya mitaa wapo wengi kaka kama Common,Twalib Kweli,nadhani Kendrick watu wanamweka kama best hip hop emcee kwa sasa kutoka na mashairi yake yanalenga jamii I think yy na Joe Cole wanaongea zaidi kile maisha ya black yalivyoWhy nas
Nitakutajia vitu vingi saana.
1. Lyrics. Sio mtu wa kawaida
2. Best story teller fuatilia track nyingi za nas he's a ghost in story telling
3. Aliweza kumdunda aliyeaminika ni illiest rapper ever duniani Jay z. Japo kuna watu wanakataa mpaka leo.
4. He's a gentleman.. huwezi kuta anaimba mambo ya kitoto kitoto.
5. Huyu jamaa pia ni sauti ya mtaa.. ni sawa na mtu kama nikk kwenye media hazungumziwi but street ukikaa na watu anaongelewa.
N.k vigezo binafsi
Ntafatilia ninja,ila NAS kadumu muda mrefu ila nilikubali zaid lyrics zake kwenye albamu ya pamoja na Damian marley,hasa ile ngoma ya patience& strong will continue.Pitia ranking sites zote
Utaelewa huu mchezo
2pac Jay
Nas Rakim
Biggie andree eminem
6. Sio tozi!Why nas
Nitakutajia vitu vingi saana.
1. Lyrics. Sio mtu wa kawaida
2. Best story teller fuatilia track nyingi za nas he's a ghost in story telling
3. Aliweza kumdunda aliyeaminika ni illiest rapper ever duniani Jay z. Japo kuna watu wanakataa mpaka leo.
4. He's a gentleman.. huwezi kuta anaimba mambo ya kitoto kitoto.
5. Huyu jamaa pia ni sauti ya mtaa.. ni sawa na mtu kama nikk kwenye media hazungumziwi but street ukikaa na watu anaongelewa.
N.k vigezo binafsi
Who wrote the bible? Who wrote the Quruan? Sio hahaNtafatilia ninja,ila NAS kadumu muda mrefu ila nilikubali zaid lyrics zake kwenye albamu ya pamoja na Damian marley,hasa ile ngoma ya patience& strong will continue.
Exactly, (gentle)6. Sio tozi!
Noma sana io kitu,was it a lightning storm that gave birth to the earth, hahaaahWho wrote the bible? Who wrote the Quruan? Sio haha
Ana Album 4 mkuu, latest imetoka jana inaitwa DAMNAna 2 album i think tusubiri mda utaongea. As for now YES he is best for what he does. Anawakalisha wengine vbya mno. Sit down and be humble
....when your pocket light,know u have heavy purpose.... count your blessingsNoma sana io kitu,was it a lightning storm that gave birth to the earth, hahaaah
LYRICIST wa ukweli uyu jamaa.Who made the word who made number thas eerbody under....