Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,101
- 10,464
Rap music performer...Before raping a question. Let's know who is a rapper?
Oouh kwa hiyo hata kina kitokololo wapo included sioRap music performer...
Nas Escobar is the shit!Oouh kwa hiyo hata kina kitokololo wapo included sio
Kwangu ni Nas.
Ahahaaaaaah...Oouh kwa hiyo hata kina kitokololo wapo included sio
Kwangu ni Nas.
Kabuni nini?? Rap?? Hip hop??DAMN, Yes jamaa ni mbunifu hataree nobody like him, i think i got KendricK Lamar in my DNA
Nas ni underrated ila hakuwa hot kiivo wakati 2pac kaiteka gemu ya mziki,Oouh kwa hiyo hata kina kitokololo wapo included sio
Kwangu ni Nas.
Kabuni nini?? Rap?? Hip hop??[/QUOTE
Uandishi na flow zake ni noma
hao jamaa kma akin drake kendrick me nashindw kupend misic zao japo wanasifik ni wakali kam drake ni album zake kibao ila simuelew atleast nkiangalia liv show zaoDAMN, Yes jamaa ni mbunifu hataree nobody like him, i think i got KendricK Lamar in my DNA
Why nasAhahaaaaaah...
Akina Kitokololo tena..!?
Hao hapana bradha...
Pia kwanini Nas amekua chaguo lako..?
88-95 Nas alikuwa kwanza bado nas amekuja kutake over after 98 kuja huku kipindi ambacho pac ameshaondokaNas ni underrated ila hakuwa hot kiivo wakati 2pac kaiteka gemu ya mziki,