Mkuu, wanasiasa hawa utawaweza !!,nimekumbuka kitabu fulani nilisomaga,mwanasiasa anawambia wananchi kwamba kazi ngumu sanaaa hivo wasiitamani kumbe anawachora tu
ndio ni kweli kama ulivosema kuna muda unapata stress,ila wana enjoy hawa jamaaa mno,emu fikilia unaogopwa na kila mtu nchini😅,kuanzia mahakimu,polisi,speaker wa bunge mpaka viongozi wa dini