Best pic of the year

Karibu japo kwa kuchelewa

Jr[emoji769]
Nilijua umenikaushia, Leo nimesoma mada yako kuhusiana nachakula kuwa ni ibada nimechoka, nilikuwa nashindwa kuunganisha nukta ni Kwa nini watu wanaoleta kufuru kwenye chakula huwa wanaishia kukosa hata mlo mmoja, nimeona Kwa watu wawili ,leo ndio nimejua. Kuhusiana swali langu je upi ni ukweli kuhusiana na crystal balls.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…