Best of Kipanya

Sijaelewa

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Hata mie nimetoka kapa

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app


Imetokea ajali mbaya Sanaa ya gari.

Kwa Mawazo na akili za trafic ni kwamba dereva wa hiyo Gari amefariki (maiti)
Sasa akiwa katika kuchukua maelezo.
Anamuuliza huyo jamaa (Pasipo kujua kama yeye ndiye dereva)
Kuwa dereva/Maiti wameshaitoa?

Ndipo mchukuliwa maelezo ambaye ni dereva akamjibu ndiyo mimi Hapa afande.
 
Ni kweli ulichokiongea lakini kunaujumbe kaulenga hapo. Ndio watu wanataka hilo fumbo lifumbuliwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…