Umenukumbusha hii novel kuna sehem jamaa alisimamishwa mkutanoni alikuwa ni mnene basi mwenyekiti wa mkuitano nadhani alikuwa mkuu wa wilaya akawaambioa wananchi kuwa hawa ndio wanyonyaji na maadui wa azimio la Arusha eti kisa anakitambi. Au pale wale jamaa waliofukuzwa chuo kikuu walipopewa mtihani wa siasa na mkuu wa wilayaukiwa na maswali ya ajabu ajabu wakashindwa wakachapwa viboko. Kisa eti walijifanya wanajua siasa ya ujamaa.
Kweli..kujisifia mno, why not, kuna jamaa anaitwa Dean Koontz, anaandika suspense thrillers/horror/mystery/science fiction.. Nae balaa..hasa kama sio mwoga na unapenda vitabu vya kutumia akili
Daah Mimi hapo kuna
Kikosi cha kisasi
Pesa zako Zinanuka
Machozi ya yatima
Pepo ya Mabwege
Za kizungu kuna kama Hizi
Harry Potters zote
Mirror image
One and only
Pelican brief
Digital fortress
The Jackal
Oddesa file
Hapo ni tumention a few