Best novel

Nyota ya Rehema Kiliandikwa na mwandishi wa Kiu ambayo pia ni Riwaya nzuri sana ya kitanzania. Mtunzi ni Mohamed Suleiman Mohamed, kutoka Unguja.
 
The Godfather,,,,,,,,,If tomorrow comes,,,,,,,,,,,,najisikia kuua tena.

Hizo ndio zilinikamata hasa.
 
God Father mario puzo
Lord of the ring J.R. TOLKEN
Kalulu the hare
Three sweetres one husband
 
Diary of a Zulu Girl Michael mapoto(South Africa)

Assault At Mogadishu-Peter Koch and Kai Herman
 
My daughter is into reading anything that crosses her eyes.
Vitabu gani mnaweza recommend I buy her... Mind you, she's just turning 7 this November.
Anaweza kusoma Kingereza na Kiswahili vzr sana.
 
No orchids for miss Blandish - James Hadley Chase
 

Mhmhhh kishwali kipewe kipaumbeleee jado theluth:-!
 
Haini - Shafi A Shafi
Vuta N'kuvute - Shafi A Shafi
Rosa Mistika - Kezilahabi
Mkimbizi - Hussein Tuwa
Knock Knock Who's there - JH Chase
Mfadhili
Natala
Kipimo cha mizani
 
JF!..

Najua tunapenda kusoma novels kujiburudisha na kupata mafunzo mbalimbali maishani mwetu.
Je ni novel gani uliyoisoma imekuvutia mpaka sasa?Mtunzi wake?

The society in the doc by Prince Rwegeyema. Nimesoma vitabu vingi sijapata kama hiki.
 
The Dogs of War - Fredrick Forsyth

Zawadi ya Ushindi - ... - mhusika mkuu Sikamona. Huwa sisahau pale anapojicheki kwenye kioo na kutoelewa anaemuona...

Za John Grisham zote. Navutiwa sana na The Runaway Jury, The Firm na The Brethren

Shafi Adam Shafi nampenda sana. Again, titles wadau wameziweka baadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…