Kuna ngoma kaimba na mshkaji wake inaitwa Tuma. .bonge la ngoma. .labda bush face ndo inamuangusha maana jamaa amekaa kikanda ya ziwa sana usoni
Muuza Sura tuko wengi wa Kanda ya ziwa sura zetu zikoje? Au majungu tuKuna ngoma kaimba na mshkaji wake inaitwa Tuma. .bonge la ngoma. .labda bush face ndo inamuangusha maana jamaa amekaa kikanda ya ziwa sana usoni
Muuza Sura tuko wengi wa Kanda ya ziwa sura zetu zikoje? Au majungu tu
Hhhhhhaa eti ni bush face ana matusi huyu hemedy wetu
Yaani hapa katutukana wote wa Kanda ya ziwa huyu
Naunga mkono hoja jamaa amekaa kigoroko sana japo tunyimbo twake tutamu
Muuza Sura tuko wengi wa Kanda ya ziwa sura zetu zikoje? Au majungu tu
Naunga mkono hoja jamaa amekaa kigoroko sana japo tunyimbo twake tutamu
siyo wote wa kanda ya ziwa wenye sura za kikanda ya ziwa mkuu..ni kama sura za kichaga na watu wa kusini!kuna sura ukiziona unajua kabisa huyu wa wapi
Kuna ngoma kaimba na mshkaji wake inaitwa Tuma. .bonge la ngoma. .labda bush face ndo inamuangusha maana jamaa amekaa kikanda ya ziwa sana usoni
Kwa wanaofuatilia muziki wa Tanzania hili sio jina geni..mimi binafsi namkubali huyu jamaa kwani anamashairi na nyimbo za huzuni kama vile Narudi Kijijini.