Best nasso hakuwatendea haki wanaume.

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
Jamani huwa najisikia kinyefunyefu kila nikiusikia wimbo mpya wa mwanamuziki BEST NASSO, Narudi Kijijini. Kwa ufupi katika wimbo huo Best Nasso analalamika kuonewa na mpenzi wake wa kike na hivyo anaamua kususa na kurudi kijijini alikotolewa na dame akauze mkaa kama zamani. Hivyo inawezekana mawazo ya Best Nasso yanaweza kuwa yanawakilisha vijana wengi wa kitanzania? Au yale ndo mawazo ya kisharobaro?

sisi tuliopitia jandoni tunaona kama anaudhalilisha ukoo wa kiume.
 
Usishangae kabisa kizazi hiki cha sasa ni bure kabisa,nimeshuhudia kijana akimpeleka mpenzi wake kwa mwanamme gesti halafu anangoja nje yule msichana akitoka anamgawia hela alizopata na wanaondoka wakichekacheka.
 
Aah! Unashangaa nini sasa wakati wanaume wa kisasa maisha yao kulelewa!!!???
Wapo wengi tu yaani wala Usishtuke na hayo yatawakuta hadi wajue maisha yakoje
 
Aah! Unashangaa nini sasa wakati wanaume wa kisasa maisha yao kulelewa!!!???
Wapo wengi tu yaani wala Usishtuke na hayo yatawakuta hadi wajue maisha yakoje

ndo hadi kurusha wimbo hewani. Wimbo una hit meseji negative
 
Back
Top Bottom