Best movie 2014

Best movie 2014

Victor Nicho

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
29
Reaction score
1
Tupia movie kali za kusisimua za mwaka 2014 ambazo hauta zisahau na pia na kwako unaona ni best movie kwa mwaka 2014 angalau tano tu siyo za kibongo za mbele
 
Trasformers,Maleficient,Lucy,Dracula untold and Hercules
 
Trasformers,Maleficient,Lucy,Dracula untold and Hercules

Ongeza na hizi..
Captain America The Winter Soldier
Noah
Godzilla
A million ways to die in a west
Enders Game
Into the storm
Predestination
The November man
The Purge Anarchy
 
ImageUploadedByJamiiForums1422183965.447488.jpg
Iyo hapo inaitwa fury bonge la movie yupo brad pitt na jamaa zake wanne wote wanafia ndani ya tank na dogo mmoja anafanikiwa kutoka mzima itafute hiyo.ilitoka mwez October 2014
 
View attachment 221420
Iyo hapo inaitwa fury bonge la movie yupo brad pitt na jamaa zake wanne wote wanafia ndani ya tank na dogo mmoja anafanikiwa kutoka mzima itafute hiyo.ilitoka mwez October 2014

Wewe jamaa kama ilikuwa na mimi leo… nimeiangalia hii Movie leo tuu yaani tena youtube, nimeamsha mikono juu Brad Pitt kiboko… hii ni movie bora kwangu kati ya zile movie bora kuwahi kuziangalia…
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom