Best media blunders

hahaha....kweli ase jamaa wamekosea vibaya mnooo.wajiangalie sana
 
Kwa kuchapia, TanzaniaDaima halina mpinzani. Wanachapia mpaka unashindwa kukasirika kwa watu kutojua lugha mama bali unaishia kuwaonea huruma. Hata magazeti ya kiingereza nako ni tabu tupu maana ungetegemea wawatumie watu walio makini zaidi lakini wapi. Magazeti kama The Citizen na The Guardian, makali zinazokuwa na lugha tamu ni zile za kimataifa au editorial. Stori za mtaani ni kiingereza kichafu balaa.
 
Dah,sema siwezi kuweka picha hapa ila kuna gazeti la mwananchi walikuwa wameandika "kijana aliyeuawa kwa kupigwa risasi afariki dunia akiwa hospitali" sasa sijui huyo kijana alikufa Mara mbili.
 
Dah,sema siwezi kuweka picha hapa ila kuna gazeti la mwananchi walikuwa wameandika "kijana aliyeuawa kwa kupigwa risasi afariki dunia akiwa hospitali" sasa sijui huyo kijana alikufa Mara mbili.
Hahahaha, dah hiyo noma sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…