Nmenunua Bundle ya One Week Airtel 3GB kwa Tsh5995.
Nnapata EDGE Connection. Nnapoishi ni Ilala Boma near Lamada. Haina speed kabisa.
Je yaweza kuwa hii Bundle ni Mahsusi kwa ajili ya Cellphones peke akeeee!????
Speed yake ni ndogo 0.05Download.
Nyie kwenu onafanyaje kazi!?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums