Best Divorce Letter Ever

TIKO TRICKS

Senior Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
185
Reaction score
90
Best divorce letter
 

Attachments

  • 1420296139886.jpg
    69.9 KB · Views: 1,298
Dah! Jamaa ameruka mkojo amekanyaga kinyesi
 
Ha! ha!, I love the signature.......Your EX, rich as hell and freee!
 
jifunzeni kitu hapo.
kila devorce ni wanandoa wanalaumiana......

sababu ni kuwa hakuna kati yao anaethubutu kuongelea changamoto anazozikabili ndani ya ndoa mpaka wanafikia kutalikiana.
 
Changamoto zikipitiliza kila siku ni maudhi tu hakuna tena sababu ya kuendelea kuwa pamoja, vinginevyo mnaweza kuanza kuathiri afya zenu pia maana saa zote mmenuna na mawazo lukuki. Ni bora tu kumwagana kila mtu akaanza upya kwenye hii department ya mapenzi.


jifunzeni kitu hapo.
kila devorce ni wanandoa wanalaumiana......

sababu ni kuwa hakuna kati yao anaethubutu kuongelea changamoto anazozikabili ndani ya ndoa mpaka wanafikia kutalikiana.
 
Last edited by a moderator:
Pumbafu zake aende akafie mbali na mabilioni yake. Hakuna kitu kizuri kama kuwa huru maishani.....
 
Pumbafu zake aende akafie mbali na mabilioni yake. Hakuna kitu kizuri kama kuwa huru maishani.....
Haaahaaaa,......
 

Attachments

  • IMG_15110417596275.jpeg
    34.8 KB · Views: 121
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…