Hapo ongezeaDon Williams
Even me too , i real love these songs all the timeHapo ongezea
Desperately
I've been loved by the best (My favorite of all county songs)
Listen to the radio
Good ole boys
Am just a country boy
I've got a winner in you
Senorita
Sent using Jamii Forums mobile app
Then, now , forever mkuu bado zitakuwepoEven me too , i real love these songs all the time
Hakika mkuu muziki unatupa kumbukumu ya watu wetu tulio ambatana nao enzi hizo pamoja na matukio mbalimbali tuliyopitia ,"everyday music can't resist"Mh hizi country huwa zinanipeleka kukumbuka maisha ya nyuma Sana namkumbuka marehem ccta angu mkubwa ,marehemu baba yangu na mjomba angu aliekuwa na mapenzi na sir wapwa wake pia naona Kama Ni nyimbo za kipindi Cha snow flan hivi,mi nyimbo uwa zinanipeleka kipindi flan ndio maana watu wanasema muziki unaishi(Asante I kwa kunirudisha enzi)
Sent using Jamii Forums mobile app