Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 394
- 272
Jana katika mitandao kuna habari za uongo ambazo hazivumiliki zilienea kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ndugu Bernard Kamillius Membe anahusika na suala la ujenzi wa gati la Mbamba Bay kujengwa chini ya kiwango kulikofanywa na kampuni ya kandarasi iitwayo MODSPAN ambayo inahusishwa na shemeji yake.Ukweli juu ya suala hili ni kwamba hakuna kitu kama hicho kinachomtia hatiani ndugu Bernard Kamillius Membe kwasababu ya mambo yafuatayo;moja,yeye sio mjumbe wa bodi ya tenda ambayo iliipa kampuni hiyo ya kandarasi kujenga gati husika.Pili,walioeneza habari hii wameshindwa kutoa ushahidi usio na mashaka kwamba kweli mmiliki wa kampuni hii ya MODSPAN ni shemeji yake na ndugu Bernard Kamillius Membe iwe kwa kutumia hati ya kiapo au la!Tatu,waliozusha jambo hili wameshindwa kuainisha kwa ushahidi wa kutosha ni wapi kuna dalili za rushwa ambazo ndugu Bernard Kamillius Membe anaweza akahusishwa nazo moja kwa moja zilizotumika yeye kumsaidia mmiliki wa kampuni ya MODSPAN kupata tenda ya ujenzi wa gati hii!?Lakini kubwa zaidi ni kufeli kwa watoa habari ya suala hili kuweka hadharani Memarts za kampuni hii ya MODSPAN ili watu wajue kama ndugu Bernard Kamillius Membe anamiliki hisa kiasi fulani za kampuni hii.Mwisho tuhitimishe kwamba hizi sio habari za ukweli.Zimelenga kumchafulia taswira hii ndugu Bernard Kamillius Membe ambaye anaonekana kuwa mwiba mkali kwa wanasiasa uchwara na mafisadi wanaosaka urais na vyeo ndani ya chama Ccm.Ndugu Bernard Kamillius Membe ni msafi pasipo na shaka linapokuja suala la maadili ya uongozi,diplomasia na ukada ndani ya Ccm.Imetolewa na Friends Of Hon.Membe!
Ha ha hili suala lipo wazi sana. Memorundum ama articles za kampuni toka lini zikaandika ushemeji?? Ukweli ni kwamba jamaa amempigia pande shemeji kupata tenda.
Kama Dr Slaa alivyompigia debe mke wake Rose kuwa kiongozi katika CDM!
Jana katika mitandao kuna habari za uongo ambazo hazivumiliki zilienea kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ndugu Bernard Kamillius Membe anahusika na suala la ujenzi wa gati la Mbamba Bay kujengwa chini ya kiwango kulikofanywa na kampuni ya kandarasi iitwayo MODSPAN ambayo inahusishwa na shemeji yake.
Ukweli juu ya suala hili ni kwamba hakuna kitu kama hicho kinachomtia hatiani ndugu Bernard Kamillius Membe kwasababu ya mambo yafuatayo;
Moja,yeye sio mjumbe wa bodi ya tenda ambayo iliipa kampuni hiyo ya kandarasi kujenga gati husika.
Pili,walioeneza habari hii wameshindwa kutoa ushahidi usio na mashaka kwamba kweli mmiliki wa kampuni hii ya MODSPAN ni shemeji yake na ndugu Bernard Kamillius Membe iwe kwa kutumia hati ya kiapo au la!
Tatu,waliozusha jambo hili wameshindwa kuainisha kwa ushahidi wa kutosha ni wapi kuna dalili za rushwa ambazo ndugu Bernard Kamillius Membe anaweza akahusishwa nazo moja kwa moja zilizotumika yeye kumsaidia mmiliki wa kampuni ya MODSPAN kupata tenda ya ujenzi wa gati hii!?
Lakini kubwa zaidi ni kufeli kwa watoa habari ya suala hili kuweka hadharani Memarts za kampuni hii ya MODSPAN ili watu wajue kama ndugu Bernard Kamillius Membe anamiliki hisa kiasi fulani za kampuni hii.Mwisho tuhitimishe kwamba hizi sio habari za ukweli.
Zimelenga kumchafulia taswira hii ndugu Bernard Kamillius Membe ambaye anaonekana kuwa mwiba mkali kwa wanasiasa uchwara na mafisadi wanaosaka urais na vyeo ndani ya chama CCM.
Ndugu Bernard Kamillius Membe ni msafi pasipo na shaka linapokuja suala la maadili ya uongozi,diplomasia na ukada ndani ya CCM.
Imetolewa na Friends Of Hon. Membe!
Rejea,family ya kaisari ni kosa kunyooshewa kidole cha tuhuma na ikifika sehemu kiongozi akawa linked na uovu then huyo sio kiongozi na hapo kama kumsafisha na shemeji yake basi wangekuja na full details za hiyo kampuni na pia huyo shemeji mtu!!
Tungefuata hayo ni kiongozi gani angesimama?
Ha ha hili suala lipo wazi sana. Memorundum ama articles za kampuni toka lini zikaandika ushemeji?? Ukweli ni kwamba jamaa amempigia pande shemeji kupata tenda.
thibitisha basi japo hapa hapa jf, si upo chini ya mwamvuli wa jf kwa jina bandia hapo? Au ndio mwendelezo wa zile zile bla bla!
Tangu jana nilitoa angalizo kuhusu hili
Siasa za majitaka hazitakiwi kuendekezwa hata kidogo.
Iwe kwa Upinzani au kwa watu wa chama Tawala.Hazifai hata kidogo
Tangu jana nilitoa angalizo kuhusu hili
Siasa za majitaka hazitakiwi kuendekezwa hata kidogo.
Iwe kwa Upinzani au kwa watu wa chama Tawala.Hazifai hata kidogo
we bwe.ge mbona upo nje ya mada? hayo yako yaanzishie thread yake.MERI iliyosafirisha MENO YA TEMBO yaliyokamatwa huko CHINA ni YANGU lakini MENO YA TEMBO sio yangu (ABDULHAMAN KINANA-KATIBU MKUU CCM) Na hadi leo hii hayo Meno ya Tembo hayajulikani ni ya nani ingawa kwa fununu KINANA alipokwenda china alikwenda kumalizia mauzo ya bidhaa hiyo na kurudi na mkwanja wa kutosha.
mkuu huyo si kwamba ameanza kuwa na akili bali huyo ndo chaguo lake. baada ya ile saccos yao kukosa uelekeo na sasa inakufa wameamua kujichagulia wagombea. mfano lile pepo liitwalo Nicolas lenyewe limejipambanua kuwa chaguo lake ni mzee maumvi wa monduli. badp lile pepo lingine liitwalo mungi. nalo muda sio mrefu italiona humu likijionesha waziwazi upambe wake kwa mmojawapo.Naona sasa umeanza kutumia kichwa kufikiria!ongera kwa kukua