Bernard Membe: Churches (MCC & CCT) cannot solve border dispute

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, has ruled out the possibilities of mediation on the Lake Nyasa dispute within the interested countries (Tanzania and Malawi).


The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe

http://www.nyasatimes.com/malawi/2012/12/23/malawi-tanzania-churches-to-intervene-on-border-row/


Mr Membe said this over the weekend as Tanzania and Malawi submitted letters of application to the Chairperson of the Forum of Former African Heads of State and Governments, Mr Joaquim Chissano, requesting the Forum to mediate the Lake Nyasa border dispute, after the two countries failed to reach a consensus.

"This submission of joint letters means that the chapter for internal mediation dialogues between the two countries is closed and all the hopes are now on the Forum to decide on the matter," he said.

He said that had there been any avenue to seek the solution to the row internally, that would be the way to go but the decision which was reached in November by both countries to move forward to the Forum means that internal avenues have been exhausted. Mr Membe's statement shows that current intention by the Malawi Council of Churches (MCC) and its counterpart the Christian Council of Tanzania (CCT) to intervene and mediate the dispute is belated as the matter has already gone beyond the two countries.

The MCC and CCT are said to have made the agreement following a clear stalemate which has forced the two countries to approach the Forum for assistance. In a letter, MCC General Secretary Reverend Osborne Joda-Mbewe told his CCT counterpart Reverend Leonard Mtaita that the council in Malawi is deeply concerned about the deadlock of the dialogue between the two countries.

Mr Chissano, who is also a Former President of Mozambique, received the joint letters of application to mediate on the matter on Friday from the ministers of foreign affairs of the countries in question in Maputo. The foreign ministers were accompanied by Attorneys General of both countries. The forum is made of retired democratically elected Presidents from the countries of the Southern African Development Community (SADC).

The Tanzanian Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Mr Bernard Membe, told a team of members of press that the Forum was expected to work on the matter within four months from the day of submission. Receiving the applications, Mr Chissano said he was humbled by the trust the two countries have put in the forum and that he would make sure a solution is worked out. "We (the forum) have happily accepted the task. We know that it is not easy but we will make sure we find a solution," he said.
 
Ni ujinga kukataa hii option.Malawi ni chritian Nation na Rais ni Mlokole chances are wanaweza neutralize mahusiano kwa level ya wananch, wakai serikali zikiwa zinatafuta soultion nyingine.Subiri bomu la kwanza litue kama hukuona viongozi wa dini wakiitwa.NA watashambuliwa kipindi vuguvuguvu la kuwato amagamba likianza.
 
SIKU chache baada ya viongozi wa dini wa madhehebu ya Kikristo nchini Malawi na Tanzania kuwasiliana kwa lengo la kutaka wajadili mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa baina ya nchi hizo mbili, Serikali ya Tanzania imezuia mjadala huo, Mwananchi imeelezwa.

Viongozi hao wa dini, Baraza la Wakristo Tanzania (TCC) na Baraza la Wakristo Malawi (MCC) walitangaza kujiingiza kwenye mgogoro huo wakitaka washirikishwe kama wasuluhishaji katika kile walichoeleza kuwa mgogoro huo umedumu kwa muda mrefu bila suluhu yoyote.

Hata hivyo Serikali ya Tanzania imepinga wazo la viongozi hao kwa maelezo kuwa suala la mzozo huo limefikishwa kwa mpatanishi maalumu ambaye amekubaliwa na pande zote mbili.

Hivi karibuni mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi zote mbili walikuwa mjini Maputo, Msumbiji kwa ajili ya kukutana na mpatanishi wa mzozo huo, Rais wa zamani Joachim Chissano ambaye anatazamia kuanza kazi hiyo Januari mwakani.

Kiongozi huyo wa zamani ndiye atayeongoza jopo la viongozi wastaafu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) kusaka suluhu ya mzozo huo ambao sasa umedumu kwa zaidi ya miongo 6.

Hata hivyo viongozi wastaafu wa Tanzania rais All Hassani Mwinyi, Benjamin Mkapa na yule wa Malawi Bakili Muluzi hawataruhusiwa kushiriki kwenye jopo hilo la marais wastaafu wa nchi za SADC.

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amekaririwa akisema hoja iliyotolewa na viongozi wa dini waliotaka kuwa sehemu ya usuluhishi kwenye mzozo huo, haina nguvu kwani suala hilo limefikishwa kwenye ngazi ya juu zaidi.

Hivi karibuni Serikali ya Tanzania na Malawi zilipeleka barua ya pamoja kwa jukwaa la marais wa wastaafu wa nchi za kusini mwa Afrika linaloongozwa Rais Joachim Chissano, zikiomba zipatanishwe katika mzozo huo baada ya majadiliano ya pande zote mbili kushindwa kuzaa matunda.

Hata hivyo duru za kidiplomasia kutoka Lilongwe zinasema kuwa, Serikali ya Malawi imejiandaa kuelekea kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa(ICJ) iwapo upatanishi huo utashindwa kuzaa matunda.

Gazeti la Daily Times limewanukuu maofisa wa Serikali wakisema kuwa karata ya mwisho kwa Malawi itakuwa ni kuelekea kwenye mahakama hiyo ambayo pia imewahi kutoa ufumbuzi kwa mizozo mbalimbali iliyohusu mipaka.

Mahakama hiyo ya kimataifa imewahi kushughulikia mzozo wa mpaka uliozihusisha nchi za Cameroon na Nigeria zilizokuwa zikizozona kuhusiana na eneo lililojulikana Bakassi Peninsula.Kadhalika imewahi kutatua mzozo wa mpaka baina ya Namibia na Botswana kuhusiana na kisiwa Kasikil

source : Tanzaniadaima
 
Hapa mfumo kristo wamechemka, hongera membe kwa kugumdua kuwa wana hoja dhaifu.
 
Mleta mada una harufu ya udini na inaonesha unashabikia mgogoro wa kidini. Sijaona palipoandikwa marufuku wakristo kujadili mgogoro huu ila imeandikwa viongozi wa TCC na MCC wasijihusishe na mgogoro huu kwani kuna marais wastaafu wanaushughulikia. Ukisema Wakristo maana yake ni pamoja na Membe mwenyewe, viongozi wote ambao ni wakristo pamoja na raia ambao ni wakristo wasiujadili mgogoro huu. Acha ushabiki mkuu kwa kuitafsiri habari vibaya.
 
Hapa mfumo kristo wamechemka, hongera membe kwa kugumdua kuwa wana hoja dhaifu.
Mbona unampa hongera Membe wakati yeye na JMK Wanatumkia mfumo kristo ambao according to you, umechemsha?
Can you now realize how confused you are after self-confusing with your own imaginations on such things as "Mfumo kristo"?
 
wamedandia gari kwa mbele hao! safi sana, chezea membe wewe!
 
Hapa mfumo kristo wamechemka, hongera membe kwa kugumdua kuwa wana hoja dhaifu.

Jitahidi kuficha uelewa wako maana haufanani na GT soma habari uelewe, una hakika Tanzania na Malawi hawana Viongozi wakristo ambao kwa nafasi zao hawana budi kuujadili mgogoro huu? Hata raia wanaoguswa moja kwa moja?
 
Issue sio membe kuwa muislam au mkristo, issue ni maamuzi yaliyofanyika, safi sana membe kwa kuliona hilo mapema! taratibu lazima zifuatwe na sio suala la kukurupuka kwa jambo ambalo ni sereous kama hili. Big Up!
 

sasa TCC na MCC yanawakilishwa na upande gani wa dini au zina mana gani?
 
Hapa mfumo kristo wamechemka, hongera membe kwa kugumdua kuwa wana hoja dhaifu.

MEMBE ni Muislamu???? Onyesha kwamba wewe ni miongoni mwa wasomi wa kiislamu itasaidia madai mengi ya waislamu kupewa uzito.
 
Ni sahihi kwa serikali kuzuia kwa nia njema hadi pale itakaposhindikana kabisa wanaweza kualika makundi mengine kusaidia kumaliza mgogoro huo.
 
Hapa mfumo kristo wamechemka, hongera membe kwa kugumdua kuwa wana hoja dhaifu.

Somalia ni ndugu zako wanauana kila siku kwa vita, sio kawaida yenu kuzuia vita na mauaji. Nchi za kiarabu hazihangaiki na Somalia bali ni nchi za Ulaya na Africa Union.
 
Gazeti limeandika kiudaku na kishabiki kama vile kuna kundi limeruhusiwa lakini wakristo wamenyimwa.

Lengo ni kuonyesha kuwa Rais na serikali inawachukuia wakristo bila shaka sio hivyo.
 
Issue sio membe kuwa muislam au mkristo, issue ni maamuzi yaliyofanyika, safi sana membe kwa kuliona hilo mapema! taratibu lazima zifuatwe na sio suala la kukurupuka kwa jambo ambalo ni sereous kama hili. Big Up!

Kumbuka ni Membe huyo huyo alitoa tamko la kuwazuia marais wastaafu wa nchi kadhaa kushughukia pamoja na Joakim Chisanu wa msumbiji kwa maelezo kuwa ufumbuzi wake utakuwa mgumu lakini pia kuna marais wanaweza kuwa na maslahi ya nchi mbili zilizo katika mgogoro.

Kinachozuiwa hapo sio dini bali ni mgongano wa maslahi kuwepo kwa vyombo vingi kushughulikia jambo moja ambalo halijafika mwisho na kushindikana.

wapenda vita mnajulikana, kama kulikuwa na dhamira ya dhati ya kuhusisha taasisi za dini ni jambo jema tu. Hili suala sio la Membe ni maamuzi ya serikali kama mnavyotaka ieleweke.
 
Kwenye hii ishu ya mpaka ndo kidoogo huwa naiona serikali yetu kuwa na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…