Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
Hahaha ila mkuu unadhani yule jamaa yenu wa hapo zilankende angeruhusu hilo?Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo
Baadaye ukisikia mama akisema ameamua kupumzika uje tena utukumbushe
Nchi ya majuha hiiMembe yupo sahihi kabisa sasa Rais kama huyu mnyenyekevu asiye na makuu unampinga ili iweje?
Unampinga kwa sababu yupo kwenye chama ambacho kinapingwa, ahame chama kama alivyowahi kuhama Membe ili tuone watu wakimchague ya yeye na si kuona akitegemea nguvu ya ccm chama dola hata wakiweka jiwe lazima tutaona jiwe hilo likitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais.Membe yupo sahihi kabisa sasa Rais kama huyu mnyenyekevu asiye na makuu unampinga ili iweje?
marehemu alishakomolewaKwani 2025 Samia atagombea na nani?
Maana machadema yote yanaramba asali na yataungana na ccm kumpitisha mama kwa kishindo ili kumkomoa marehemu.
Safi sana Mzee wa Rondo, Chiponda, Mtauna, Mnara, Ngara. Muunge mkono amekomesha utekaji, mauwaji kubambikia kesi kudhurumiwa biashara.
Watu bado wanapotea na kufa....Safi sana Mzee wa Rondo, Chiponda, Mtauna, Mnara, Ngara. Muunge mkono amekomesha utekaji, mauwaji kubambikia kesi kudhurumiwa biashara.
Sasa hivi tunaishi Kwa amani kabisa