Nyie wapumbavu tunapambana corona, Dunia mzima iko katika mapambano, Mnazungumzia kutengwa, eti watalii sijui ujinga ujinga gani, kuweni na hekima kidogo basi!
Kila nchi inapambana kwa namna yake nyie mnaongea habari za kutengwa! Mnamsifia mjinga mmoja wakati mnaona kila nchi imejitenga kimapambano!!!
Au kwasababu mnataka Lockdown kama nchi nyingi zilizofanya ili tuonekane tunafanya kama nchi hizoo.
Cmon hamiwezi kiwa wapumbavu namna hii wakati huu Wa ugonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa matusi yako tu ni wazi kuwa wewe ni wa kupuuzwa huna hoja bali machozi ya mamba mla watu tu.
Mkuu hatutakujibu kwa matusi kama unalivyotaka. Ila kicho dhahiri ni kuwa tumekupuuza vilivyo.